Ni nani hupewa kafara ya aliyemwingilia mkewe ndani ya hedhi?

117 – Nilimuuliza Shaykh kafara ya mtu aliyemwingilia mkewe akiwa ndani ya hedhi anapewa nayo nani?

Jibu: Kwa mafukara.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 62
  • Imechapishwa: 18/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´