Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye anakanusha adhabu ya kabauri na maisha ya ndani ya kaburi?
Jibu: Hukumu yake ni kwamba ni mpotevu. Hapa ni pale kama ameshafikiwa na dalili. Ama akiwa ni mjinga basi afunzwe na kufikishiwa juu ya hilo. Akiwa ni mjinga afikishiwe kuhusu hilo. Lakini akiwa ni mjuzi basi ni mpotevu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
- Imechapishwa: 14/09/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)