Swali: Je, ni kweli kwamba kuna tofauti kati ya kundi lililookoka na kundi lililonusuriwa? Tunawasikia leo wanaoeneza propaganda hizi.
Jibu: Wanazuoni, hapo kale na hivi sasa, hawakuwa wakitofautisha kati ya kundi lililookoka na kundi lililonusuriwa. Ni maoni mepya yaliyozuliwa. Hayana dalili. Haliwi kundi lililookoka isipokuwa mpaka liwe limenusuriwa na kinyume chake. Ni sifa mbili za kundi moja: kundi lililookoka, kundi lililonusuriwa. Ni sifa mbili zilizochukuliwa kutoka katika mikusanyiko ya Hadiyth ambazo ni Swahiyh.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ma´aalim Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah, uk. 42
- Imechapishwa: 28/05/2021
Swali: Je, ni kweli kwamba kuna tofauti kati ya kundi lililookoka na kundi lililonusuriwa? Tunawasikia leo wanaoeneza propaganda hizi.
Jibu: Wanazuoni, hapo kale na hivi sasa, hawakuwa wakitofautisha kati ya kundi lililookoka na kundi lililonusuriwa. Ni maoni mepya yaliyozuliwa. Hayana dalili. Haliwi kundi lililookoka isipokuwa mpaka liwe limenusuriwa na kinyume chake. Ni sifa mbili za kundi moja: kundi lililookoka, kundi lililonusuriwa. Ni sifa mbili zilizochukuliwa kutoka katika mikusanyiko ya Hadiyth ambazo ni Swahiyh.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ma´aalim Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah, uk. 42
Imechapishwa: 28/05/2021
https://firqatunnajia.com/ni-maoni-mepya-yaliyozuliwa/