Ni lipi matamanio yanamtoa mtu nje ya Uislamu?

Swali: Ni lipi matamanio yanamtoa mtu nje ya Uislamu?

Jibu: Ni pale yatapomtumbukiza mwenye nayo katika shirki kubwa au kufuru kubwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 19
  • Imechapishwa: 24/02/2019