Swali: Ni lini ninatakiwa kusimama na kukamilisha swalah wakati ninapopitwa na Rak´ah moja? Je, inakuwa wakati imamu anapomaliza kutoa Tasliym ya kwanza au baada ya kutoa zote mbili?
Jibu: Hapana, inakuwa baada ya kumaliza kutoa ya pili. Usisimame isipokuwa baada ya [imamu] kumaliza kutoa Tasliym ya pili kwa kuwa bado yumo ndani ya swalah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (43) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-29.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket