Swali: Je, mtoto wa kiume wa miaka saba anatengwa mbali na suala la kurefusha nguo chini ya kongo mbili za miguu na asikuzwe juu yake?

Jibu: Ndio, akatazwe kurefusha nguo chini ya vifundo vya miguu ijapo ni mdogo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23972/متى-يومر-الطفل-بتجنب-الاسبال-في-الثياب
  • Imechapishwa: 08/08/2024