- Tarjama: Firqatunnajia.com
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Anayejitwahirisha na hedhi kufumua nywele zake
Swali: Je, ni lazima kwa mwanamke kufumua nywele zake wakati wa kujitwahirisha na hedhi? Jibu: Hapana, inapendeza tu. Kwa ajili hiyo imekuja katika Hadiyth ya Umm Salamah iliyopokelewa na Muslim ambaye aliuliza: "Je, nizifungue ninapotoka kwenye hedhi?" Akamjibu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam): "Hapana. Hapana vyenginevyo inakutosha kuzimiminia maji."
In "Kusafika kwa mwanamke"
Swawm kwa msichana anayeanza kupata hedhi Ramadhaan
Swali: Msichana akianza kupata hedhi sehemu ya mwezi wa Ramadhaan ni lazima alipe sehemu nyingine iliyompita? Ikiwa sio lazima, je, ni lazima kulipa zile siku ambazo alikula kwa sababu ya hedhi? Jibu: Akianza kupata hedhi amebaleghe. Ikiwa kama alikuwa hajapata alama zingine za kubaleghe zaidi ya hedhi hii, bi maana alikuwa…
In "Swawm ya mwanamke"
Ni lazima kwa anayepata hedhi na nifasi mchana wa Ramadhaan kujizuia?
Swali: Ni lazima kwa mwenye hedhi na mwenye damu ya uzazi kujizuia na kula na kunywa wakisafika mchana wa Ramadhaan? Jibu: Mwenye hedhi na mwenye damu ya uzazi wakisafika mchana wa Ramadhaan sio wajibu kwao kujizuia na kula na kunywa. Anapata ruhusa ya kula na kunywa. Kujizuia kwake hakuna maana…
In "Swawm ya mwanamke"