Ni lazima msafiri kuswali kwa kufupisha?

Swali 208: Hadiyth isemayo:

“Swalah ilifaradhishwa Rak´ah mbili, basi ikathibiti swalah ya Fajr.”

Je, hili linafahamisha juu ya ulazima wa kufupisha?

Jibu: Hapana, kwa sababu ‘Uthmaan aliswali kwa kukamilisha na Maswahabah wakamkubalia.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 88
  • Imechapishwa: 01/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´