Ni lazima kwa mume kumuitikia mke anapomwita kitandani?

Swali: Je, ni lazima kwa mwanamme kumuitikia mwanamke anapomwita [kitandani]?

Jibu: Anatakiwa kujitahidi kumuhifadhi na machafu. Lakini si lazima kwake kumtii. Lakini anatakiwa kujitahidi kumuhifadhi na machafu ili asije kutumbukia katika yanayochukiza.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21662/اذا-دعت-المراة-زوجها-فهل-عليه-طاعتها
  • Imechapishwa: 10/09/2022