Swali: Ni ipi hukumu kwa mama ambaye sio fakiri anamuomba pesa mwanawe. Je, ni wajibu kwa mtoto wake kumpa?
Jibu: Ndio, ampe mama yake na amridhishe. Isipokuwa tu ikiwa kama amemuomba pesa nyingi zenye kumdhuru, katika hali hii sio lazima. Ama kiwango kidogo na kiwango ambacho kinamridhisha mama yake ni sawa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13389
- Imechapishwa: 24/06/2020
Swali: Ni ipi hukumu kwa mama ambaye sio fakiri anamuomba pesa mwanawe. Je, ni wajibu kwa mtoto wake kumpa?
Jibu: Ndio, ampe mama yake na amridhishe. Isipokuwa tu ikiwa kama amemuomba pesa nyingi zenye kumdhuru, katika hali hii sio lazima. Ama kiwango kidogo na kiwango ambacho kinamridhisha mama yake ni sawa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13389
Imechapishwa: 24/06/2020
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-kwa-mtoto-kumpa-pesa-mama-tajiri/