Ni lazima kwa mke kumhudumia mama yake mume?

Swali: Ni lazima kwa mke kumhudumia mama yake mume?

Jibu: Hapana, amhudumie mumewe tu. Hata hivyo miongoni mwa tabia njema awahudumie wasichana zake na amhudumie mama yake. Hayo ni miongoni mwa maadili mema ikiwa wanaishi nyumba moja.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23911/ما-حكم-خدمة-الزوجة-لام-الزوج-وبناته
  • Imechapishwa: 31/05/2024