Swali: Je, ni wajibu kwangu kuwaunga ndugu ambao ni makafiri?
Jibu: Ndio. Unatakiwa kuwaunga pamoja vilevile na kuwanasihi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17510
- Imechapishwa: 11/04/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Ni lazima kuwaunga jamaa wa njia ya kunyonya?
Swali 685: Je, ni wajibu kuwaunga ndugu wa njia ya kunyonya? Jibu: Hapana, ambao ni wajibu ni wale ndugu wa damu.
In "Udugu na kuoana"
Kuongezewa miaka ya kuishi kwa sababu ya kuwaunga ndugu na jamaa
Swali: Mawasiliano endelevu yanazingatiwa ni katika kuunga kizazi? Jibu: Ndio, kunazingatiwa ni kuwaunga ndugu wote. Swali: Kuongeza umri kunazingatiwa ni jambo la uhakika? Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: ”Yule anayependa akunjuliwe riziki yake na arufushiwe maisha yake basi aunge kizazi chake.” Jibu: Ndio, inakuwa hivo. Anaongezewa kwa kubarikiwa…
In "Kuamini Qadar"
Vipi kuwaunga ndugu walio mbali na wewe?
Swali: Ni yepi makusudio ya kuunga kizazi katika Hadiyth mbalimbali? Jibu: Kuunga kizazi maana yake ni wale ndugu na jamaa. Ndugu wote ni kizazi chako. Walio karibu zaidi ni baba, mama, watoto na wajukuu. Swali: Vipi ikiwa mtu anataka kuunga kizazi chake lakini wapo katika nchi nyingine? Jibu: Anapaswa kuwaunga…
In "Udugu na kuoana"