Ni lazima kuwaunga jamaa wa njia ya kunyonya?

Swali 685: Je, ni wajibu kuwaunga ndugu wa njia ya kunyonya?

Jibu: Hapana, ambao ni wajibu ni wale ndugu wa damu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 245
  • Imechapishwa: 28/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´