Ni lazima kuvua soksi baada ya kupata maji?

Swali: Mtu akifanya Tayammum kwa kukosa maji. Kisha akavaa soksi. Akipata maji kwa ajili ya swalah nyingine ni lazima avue zile soksi?

Jibu: Ndio, anatakiwa kuvua zile soksi.

Check Also

Amefuta juu ya soksi bila ya wudhuu´

Swali: Nilivaa soksi kabla ya kutawadha. Kisha ulipofika wakati wa swalah nikatawadha na kufuta juu …