Swali: Je, ni lazima kutoa kafara ya kiapo papo hapo? Je, mtu anapata dhambi kwa kuichelewesha?
Jibu: Ndio. Ni lazima kuitoa papo hapo ndio dhimma yake inatakasika kwa kufanya hivo. Lakini akiwa na udhuru kwa mfano hana uwezo au yuko mahali ambapo hakuna mafukara; katika hali hiyo anaruhusiwa kuichelewesha.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 28/06/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)