Swali: Mwanamke huyu alikuwa akifanya mapungufu katika swalah na akapatwa na matatizo ambapo Allaah akamwongoza na akaanza kuhifadhi swalah. Baadaye akamwomba Allaah na akaweka nadhiri tatizo lake likiondoka kwamba atafunga miezi miwili mfululizo. Baadaye tatizo likaondoka. Je, ni wajibu kwake kufunga miezi miwili mfululizo?
Jibu: Ndio:
“Mwenye kuweka nadhiri ya kumtii Allaah na amtii, na mwenye kuweka nadhiri ya kumuasi Allaah na asimuasi.”
Hii ni nadhiri ya utiifu. Kufunga miezi miwili kufuata ni nadhiri ya utiifu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (73)
- Imechapishwa: 09/04/2025
Swali: Mwanamke huyu alikuwa akifanya mapungufu katika swalah na akapatwa na matatizo ambapo Allaah akamwongoza na akaanza kuhifadhi swalah. Baadaye akamwomba Allaah na akaweka nadhiri tatizo lake likiondoka kwamba atafunga miezi miwili mfululizo. Baadaye tatizo likaondoka. Je, ni wajibu kwake kufunga miezi miwili mfululizo?
Jibu: Ndio:
“Mwenye kuweka nadhiri ya kumtii Allaah na amtii, na mwenye kuweka nadhiri ya kumuasi Allaah na asimuasi.”
Hii ni nadhiri ya utiifu. Kufunga miezi miwili kufuata ni nadhiri ya utiifu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (73)
Imechapishwa: 09/04/2025
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-kutekeleza-nadhiri-ya-kufunga-miezi-miwili-mfululizo/