Swali: Je, sharti nadhiri mtu aitamke? Mtu akiweka nadhiri moyoni mwake…

Jibu: Nadhiri iliyonuiwa bila ya kutamkwa haisihi. Hailazimu chochote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
  • Imechapishwa: 07/01/2024