695 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu waliosema kwamba ugeni hauwi wa lazima katika miji yenye hoteli?
Jibu: Ugeni ni wa lazima katika miji, ni mamoja iwepo hoteli au hapana, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 247
- Imechapishwa: 03/07/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
695 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu waliosema kwamba ugeni hauwi wa lazima katika miji yenye hoteli?
Jibu: Ugeni ni wa lazima katika miji, ni mamoja iwepo hoteli au hapana, kama alivyosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 247
Imechapishwa: 03/07/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ni-lazima-kumpokea-mgeni-katika-miji-iliyojaa-hoteli/