Ni lazima kulipa swawm ya Sunnah ambayo mtu kaifungua?

Swali: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mtu aliyefungua swawm ya kujitolea inapendeza ailipe?

Jibu: Udhahiri wa Hadiyth ya Juwayriyyah ni kwamba hakumwamuru ailipe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 126
  • Imechapishwa: 04/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´