Swali: Je, kuhudhuria Khutbah ya ijumaa ni wajibu?

Jibu: Ndiyo, ikiwa itawezekana.

Swali: Je, mtu hawezi kuwa na dhambi kwa kuacha baadhi yake kama vile swalah ya mkusanyiko?

Jibu: Kinachodhihirika kwangu ni kwamba ni lazima mtu ahudhurie, kwa sababu Allaah ameweka katika Shari´ah Khutbah ili watu wanufaike, wajifunze na wapate faida siku ya ijumaa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31568/هل-ياثم-من-يتاخر-عن-خطبة-الجمعة
  • Imechapishwa: 06/11/2025