Swali: Tumesikia Shaykh al-Luhaydaan akimtetea Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy na kusema kuwa ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah. Baada ya hapo baadhi wakaanza kueneza tuhumu za kwamba wewe unamfanyia Tabdiy´ Shaykh Rabiy´ na kumtoa katika mrengo wa Sunnah…
ar-Raajhiy: Ni nani alosema haya? Ni nani alosema haya? Ni nani alosema haya?
Muulizaji: Yapo kwenye Intaneti.
ar-Raajhiy: Ni nani aliyenukuu haya kutoka kwangu?
Muulizaji: Yapo kwenye Intaneti. Kuna Haddaadiyyah wanaoyaeneza.
ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli?
Muulizaji: Nini?

Muulizaji: Hapana.

ar-Raajhiy: Walimsemea uongo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muulizaji: Shaykh Rabiy´ ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah?
ar-Raajhiy: Wakati walipokuja kwa Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) na kumtuhumu ya kuwa amesema haya na yale juu yao, akasema:
“Wamenisemea uongo.”
Walimsemea uongo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)… Ni uongo.
Muulizaji: Ninukuu kutoka kwako ya kwamba Shaykh Rabiy´ ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah?
ar-Raajhiy: Nukuu kutoka kwangu, nukuu kutoka kwangu… [sauti haiko wazi]
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin´Abdillaah ar-Raajhiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=146670
- Imechapishwa: 11/04/2015
Swali: Tumesikia Shaykh al-Luhaydaan akimtetea Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy na kusema kuwa ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah. Baada ya hapo baadhi wakaanza kueneza tuhumu za kwamba wewe unamfanyia Tabdiy´ Shaykh Rabiy´ na kumtoa katika mrengo wa Sunnah…
ar-Raajhiy: Ni nani alosema haya? Ni nani alosema haya? Ni nani alosema haya?
Muulizaji: Yapo kwenye Intaneti.
ar-Raajhiy: Ni nani aliyenukuu haya kutoka kwangu?
Muulizaji: Yapo kwenye Intaneti. Kuna Haddaadiyyah wanaoyaeneza.
ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli?
Muulizaji: Nini?
ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli?
Muulizaji: Hapana.
ar-Raajhiy: Kila kinachoenezwa ni kweli?
Muulizaji: Hapana.
ar-Raajhiy: Walimsemea uongo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muulizaji: Shaykh Rabiy´ ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah?
ar-Raajhiy: Wakati walipokuja kwa Shaykh Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) na kumtuhumu ya kuwa amesema haya na yale juu yao, akasema:
“Wamenisemea uongo.”
Walimsemea uongo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)… Ni uongo.
Muulizaji: Ninukuu kutoka kwako ya kwamba Shaykh Rabiy´ ni katika wanachuoni wa Ahl-us-Sunnah?
ar-Raajhiy: Nukuu kutoka kwangu, nukuu kutoka kwangu… [sauti haiko wazi]
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin´Abdillaah ar-Raajhiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=146670
Imechapishwa: 11/04/2015
https://firqatunnajia.com/ni-kweli-ar-raajhiy-amemfanyia-tabdiy-shaykh-rabiy-al-madkhaliy/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)