107 – Mtu mmoja alimuuliza Shaykh wetu kuhusu mikojo ya ngamia?

Jibu: Ni safi kama maziwa yake.

Muulizaji akauliza kama mkojo wake unasafisha hadathi?

Jibu: Hapana, hadathi inaondolewa kwa maji.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 60
  • Imechapishwa: 15/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´