Swali: Ni ipi hukumu ya Qaz´? Ni jambo la haramu au limechukizwa?
Jibu: Liko karibu zaidi na uharamu. Naona Qaz´ imekuwa kwa wingi hii leo. Inatakiwa kwa kamati ya kuamrisha mema na kukataza maovu wawafunze vinyozi na wasifanye dhambi hii.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
- Imechapishwa: 16/07/2017
Swali: Ni ipi hukumu ya Qaz´? Ni jambo la haramu au limechukizwa?
Jibu: Liko karibu zaidi na uharamu. Naona Qaz´ imekuwa kwa wingi hii leo. Inatakiwa kwa kamati ya kuamrisha mema na kukataza maovu wawafunze vinyozi na wasifanye dhambi hii.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
Imechapishwa: 16/07/2017
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-qaz/