Swali: Ni ipi hukumu ya nasaha?

Jibu: Ni wajibu kwa yale ambayo ni wajibu na inapendeza katika yale yanayopendeza. Ni wajibu katika kuacha maovu na inapendeza katika mambo yenye kupendeza.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25250/ما-حكم-النصيحة
  • Imechapishwa: 22/02/2025