Ni ipi hukumu ya mwenye kusema kuwa Qur-aan ni kiumbe?

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kusema kuwa Qur-aan ni kiumbe?

Jibu: Qur-aan ni maneno ya Allaah. Maneno ya Allaah ni sifa miongoni mwa sifa Zake. Anazungumza anapotaka na namna anayotaka. Haijuzu kusema hivo. Anayepinga sifa miongoni mwa sifa Zake anatakiwa kufunzwa. Akiendelea kupinga kwa makusudi ni kafiri.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Maraatib-ul-Ihsaan 02 https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-09/mratib2.mp3
  • Imechapishwa: 27/09/2022