Ni ipi hukumu ya mwenye kufanya liwati?

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufanya liwati?

Jibu: Maoni sahihi ni kwamba mfanyaji na mfanywaji ikiwa wote wawili wamekwishabaleghe. Lakini ikiwa ni mmoja tu katika wao ndiye kishabaleghe, atauliwa yule aliyekwishabaleghe.

Swali: Je, watapigwa mawe au watatupwa kutoka mahali pa juu?

Jibu: Maswahabah walitofautiana. Wako waliosema kuwa atachomwa moto, hata hivyo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Haadhibu kwa moto isipokuwa Muumba wa moto.”

Lakini watasimamishiwa adhabu kwa kuuliwa. Bora zaidi ni kuwapiga mawe mpaka wafe.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 245
  • Imechapishwa: 10/03/2025