Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya Mahaarib misikitini? Ni lipi jawabu juu ya yale yaliyopokelewa juu ya makatazo ya Mihraab inayofanana na ya manaswara?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana kama Mihraab ni Sunnah, imependekezwa au inafaa. Vile ninavyoona ni kwamba ni jambo linalofaa. Haya ndio maoni yanayotambulika ya madhehebu. Mtu akisema kuwa ni jambo lililopendekezwa kutokana na yale manufaa yake mengi yanayopatikana ndani yake, ikiwa ni pamoja na kumjuza mjinga ni wapi kipo Qiblah, itakuwa sio makosa.
Kuhusu Hadiyth ambapo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza Mahaarib inayofanana na ya manaswara[1], inahusiana na yale ambapo Mahaarib hizo zitakuwa zinafanana na Mahaarib za manaswara. Kuhusu Mahaarib ambazo ni maalum kwa waislamu pekee ni jambo ambalo halikukatazwa.
[1] Ibn Abiy Shaybah (2/55).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/412-413)
- Imechapishwa: 18/04/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya Mahaarib misikitini? Ni lipi jawabu juu ya yale yaliyopokelewa juu ya makatazo ya Mihraab inayofanana na ya manaswara?
Jibu: Wanazuoni wametofautiana kama Mihraab ni Sunnah, imependekezwa au inafaa. Vile ninavyoona ni kwamba ni jambo linalofaa. Haya ndio maoni yanayotambulika ya madhehebu. Mtu akisema kuwa ni jambo lililopendekezwa kutokana na yale manufaa yake mengi yanayopatikana ndani yake, ikiwa ni pamoja na kumjuza mjinga ni wapi kipo Qiblah, itakuwa sio makosa.
Kuhusu Hadiyth ambapo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza Mahaarib inayofanana na ya manaswara[1], inahusiana na yale ambapo Mahaarib hizo zitakuwa zinafanana na Mahaarib za manaswara. Kuhusu Mahaarib ambazo ni maalum kwa waislamu pekee ni jambo ambalo halikukatazwa.
[1] Ibn Abiy Shaybah (2/55).
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/412-413)
Imechapishwa: 18/04/2026
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-mihraab/