Ni ipi hukumu ya kumlakinia maiti baada ya kuzikwa?

Swali: Ni ipi hukumu ya kumlakinia maiti baada ya kuzikwa?

Jibu: Maoni yenye nguvu ni kuwa asilakiniwe baada ya kuzikwa. Hata hivyo anatakiwa kuombewa msamaha na uthabiti. Hadiyth kuhusu kumlakinia ni dhaifu[1].

[1] Tazama ”Majma´-uz-Zawaa’id” (2/324), ”Zaad-ul-Ma´aad” (1/522), at-Talkhisw al-Habiyr (2/135) na ”Irwaa’-ul-Ghaliyl” (3/203).

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (17/217)
  • Imechapishwa: 25/08/2021