Swali: Ni ipi hukumu ya kula pamoja na makafiri?
Jibu: Ikiwa chakula ni chenye kuruhusiwa ni sawa. Hata hivyo haijuzu kukaa pamoja nao kwa kuwa wanaweza kumuathiri mtu. Ama kula nao tu na kula nao mlo au kitu kingine inajuzu. Lakini usitangamane nao, usiwafanye kuwa marafiki, usisuhubiane nao na kuwa na anasa nao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (16) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–14330804.mp3
- Imechapishwa: 09/06/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya kula pamoja na makafiri?
Jibu: Ikiwa chakula ni chenye kuruhusiwa ni sawa. Hata hivyo haijuzu kukaa pamoja nao kwa kuwa wanaweza kumuathiri mtu. Ama kula nao tu na kula nao mlo au kitu kingine inajuzu. Lakini usitangamane nao, usiwafanye kuwa marafiki, usisuhubiane nao na kuwa na anasa nao.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (16) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–14330804.mp3
Imechapishwa: 09/06/2020
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-kula-na-makafiri/