Swali: Ni ipi hukumu ya kuhifadhi picha kwa sababu ya kumbukumbu?
Jibu: Kuhifadhi picha ni haramu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekhabarisha ya kwamba Malaika hawaingii ndani ya nyumba iliyo na picha. Hii ni dalili inayofahamisha juu ya uharamu wa kuhifadhi picha ndani ya majumba.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (02/283)
- Imechapishwa: 31/05/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Ni haramu kuhifadhi picha, sembuse kuzitundika
Swali: Watu wengi wanachukulia wepesi picha za kivuli. Baadhi wanazihifadhi kwa ajili ya kumbukumbu, wengine wanazitundika. Tunaomba utubainishie jambo hili. Jibu: Naona kuwa kuhifadhi picha kwa sababu ya kumbukumbu ni haramu. Kwa sababu ni jambo linaloingia ndani ya ujumla wa maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam): “Malaika hawaingii…
In "Ibn ´Uthaymiyn kuhusu picha"
Kuhifadhi picha kwenye simu na kompyuta
Swali: Je, ni haramu kuhifadhi picha kwenye simu na kwenye kompyuta? Jibu: Kuna haja gani ya kuhifadhi picha? Haijuzu kuhifadhi picha isipokuwa wakati wa dharurah. Ikiwa hakuna dharurah basi hakuna neno kuhifadhi, kama vile wa picha kwenye kitambulisho, pasipoti au vitu vingine unavohitajia. Hizi inafaa kuhifadhi. Ama kuhifadhi picha pasi…
In "al-Fawzaan kuhusu picha"
Kuhifadhi picha ni jambo halijuzu
Swali: Ni ipi hukumu ya kuhifadhi picha za kivuli pamoja na kuzingatia kwamba mtu hakuzitundika juu ya kuta na amezihifadhi tu ndani ya albamu? Jengine ni kwamba hakuzipiga kwa ajili ya maadhimisho, lakini ni kwa ajili ya kumbukumbu. Jibu: Kuhifadhi picha hizi ni jambo halijuzu. Hilo ni kwa sababu kuhifadhi…
In "Ibn ´Uthaymiyn kuhusu picha"