Swali: Vipi kutumia Siwaak wakati wa Khutbah?

Jibu: Haitakikani, kwa sababu ni aina fulani ya upuuzi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27022/حكم-استعمال-السواك-اثناء-الخطبة
  • Imechapishwa: 21/03/2025