Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kitendo cha kujichua sehemu ya siri?
Jibu: Punyote ni dhambi na haijuzu. Kujitoa manii kwa mkono ni aina fulani ya uzinzi, haijuzu. Allaah (Jalla wa ´Alaa) amesema:
وَالَّذِينَ هُمْ لِفُرُوجِهِمْ حَافِظُونَ إِلَّا عَلَىٰ أَزْوَاجِهِمْ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُمْ فَإِنَّهُمْ غَيْرُ مَلُومِينَ فَمَنِ ابْتَغَىٰ وَرَاءَ ذَٰلِكَ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الْعَادُونَ
”Na wale ambao wanazihifadhi tupu zao, isipokuwa kwa wake zao au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, basi hao si wenye kulaumiwa. Basi yeyote yule atakayetaka kinyume ya hivo, basi hao ndio wavukao mipaka.”[1]
Kwa hiyo amefanya kwa ambaye anatafuta asiye mke au mjakazi amevuka mipaka. Kwa maana nyingine ni mwenye kudhulumu.
Isitoshe kufanya punyeto kuna madhara mengi yaliyotajwa na wanazuoni. Ndani yake kuna madhara mengi. Kwa hiyo ni wajibu kujihadhari na jambo hilo.
[1] 23:05-07
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30921/ما-حكم-فعل-العادة-السرية
- Imechapishwa: 16/09/2025
Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya kitendo cha kujichua sehemu ya siri?
Jibu: Punyote ni dhambi na haijuzu. Kujitoa manii kwa mkono ni aina fulani ya uzinzi, haijuzu. Allaah (Jalla wa ´Alaa) amesema:
وَالَّذِينَ هُمْ لِفُرُوجِهِمْ حَافِظُونَ إِلَّا عَلَىٰ أَزْوَاجِهِمْ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُهُمْ فَإِنَّهُمْ غَيْرُ مَلُومِينَ فَمَنِ ابْتَغَىٰ وَرَاءَ ذَٰلِكَ فَأُولَـٰئِكَ هُمُ الْعَادُونَ
”Na wale ambao wanazihifadhi tupu zao, isipokuwa kwa wake zao au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, basi hao si wenye kulaumiwa. Basi yeyote yule atakayetaka kinyume ya hivo, basi hao ndio wavukao mipaka.”[1]
Kwa hiyo amefanya kwa ambaye anatafuta asiye mke au mjakazi amevuka mipaka. Kwa maana nyingine ni mwenye kudhulumu.
Isitoshe kufanya punyeto kuna madhara mengi yaliyotajwa na wanazuoni. Ndani yake kuna madhara mengi. Kwa hiyo ni wajibu kujihadhari na jambo hilo.
[1] 23:05-07
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30921/ما-حكم-فعل-العادة-السرية
Imechapishwa: 16/09/2025
https://firqatunnajia.com/ni-aina-fulani-ya-uzinzi/