628 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu dhahabu iliyomo katika mapambo ya joho?

Jibu: Dhahabu yote ni haramu kwa wanaume. Ama kuhusu joho, tuliwauliza watu wa utaalamu ambapo wakasema kuwa haina dhahabu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 222
  • Imechapishwa: 15/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´