Swali: Amesema (Ta´ala):
إِلَيْهِ يَصْعَدُ الْكَلِمُ الطَّيِّبُ وَالْعَمَلُ الصَّالِحُ يَرْفَعُهُ
”Kwake ndiko kunapanda neno zuri na tendo njema hulitukuza.”[1]
Je, Aayah inawaraddi Murji-ah?
Jibu: Aayah inafahamisha ya kwamba maneno peke yake hayatoshi. Maneno ni lazima yaambatane na matendo. Neno zuri ni lazima liambatane na matendo mema ambayo yatanyanyua maneno kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala).
[1] 35:10
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (84) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17577
- Imechapishwa: 28/12/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)