Swali: Mtu anatakiwa kuanza kuwalingania wale watu wa karibu zaidi naye kisha wanaofuatia?

Jibu: Aanze na wale watu wa karibu na wengineo. Lakini muhimu zaidi ni pale anapoanza na wale ndugu wa karibu zaidi. Hata hivyo hilo halizuii kwamba pale anapopata fursa kuacha kuwalingania wale watu walio mbali naye. Akipata urahisi anatakiwa kuwalingania.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22965/هل-تجب-الدعوة-للاقرب-فالاقرب-او-عامة
  • Imechapishwa: 23/09/2023