Swali: Inajuzu kufunga ndoa kwa njia ya simu ambapo walii akawa hayuko katika kikao hicho?

Jibu: Hapana. Ni lazima wawepo mashahidi wataomshuhudia walii na masharti. Ni lazima ahudhurie[1].

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/ndoa-za-kwenye-simu/

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 05/07/2018