Swali: Mwanamke akiswali nyumbani kwake peke yake anaweza kuacha kukimu swalah?
Jibu: Haifai kwa mwanamke kukimu swalah, sawa iwe nyumbani kwake au nje ya nyumbani kwake. Asifanye Iqaamah. Kutoa adhaana na kukimu ni mambo maalum kwa wanaume. Kwa kuwa hakukuthibiti dalili yoyote ya kwamba wanawake wanaadhini.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
- Imechapishwa: 04/01/2017
Swali: Mwanamke akiswali nyumbani kwake peke yake anaweza kuacha kukimu swalah?
Jibu: Haifai kwa mwanamke kukimu swalah, sawa iwe nyumbani kwake au nje ya nyumbani kwake. Asifanye Iqaamah. Kutoa adhaana na kukimu ni mambo maalum kwa wanaume. Kwa kuwa hakukuthibiti dalili yoyote ya kwamba wanawake wanaadhini.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
Imechapishwa: 04/01/2017
https://firqatunnajia.com/ndio-maana-mwanamke-hatakiwi-kuadhini/