Swali: Je, Muusa (´alayhis-Salaam) alikuwa akiteremshiwa Wahy kupitia kwa Jibriyl (´alayhis-Salaam) au…

Jibu: Muusa ni mzungumzishwaji wa Allaah. Allaah alikuwa anazumgumzisha, anasikia sauti Yake na maneno Yake. Allaah alikuwa anazungumzisha moja kwa moja pasi na uunganishi wa Jibriyl.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (104) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/13-03-1441%D9%87%D9%80~1_0.mp3
  • Imechapishwa: 12/12/2020