Swali: Je, mamba inazingatiwa ni mnyama wa nchikavu au wa baharini?

Jibu: Kote kuwili. Anaishi ndani ya maji na anakwenda nchikavu. Ni wa kote kuwili. Lakini haliwi kutokana na sababu mbili:

1- Wakati hali fulani imekusanya na makatazo, basi makatazo ndio yanapewa kipaumbele.

2- Mamba ni mnyama mkali mwenye meno yaliyochongeka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 10/02/2020