Swali: Je, Aayah zote za Qur-aan hazina mafumbo (مجاز)?

Jibu: Mafumbo ya lugha, ndio, na si mafumbo ya wanaistilahi. Ni mafumbo ya upanuzi wa lugha. Ama mafumbo yale ya wanabalagha, hapana, hayapo katika Qur-aan. Bali kilicho ndani yake ni upanuzi wa lugha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31085/هل-في-ايات-القران-مجاز
  • Imechapishwa: 02/10/2025