Swali: Tunaomba nasaha kwa wanao Salafiyyuun walioko Libya kuhusiana na mambo yanayoendelea katika nchi yetu na kuna mikusanyiko kama ya wanajeshi na baadhi ya Khawaarij.

Jibu: Jiwekeni mbali na fitina. Jitengeneni mbali na fitina na mjaribu kuleta suluhu ikiwa itawezekana. Jiwekeni mbali na fitina na msiingie ndani ya fitina.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15208
  • Imechapishwa: 28/06/2020