Swali: Je, mtu yeyote anaweza kuwapa zakaah makafiri ambao kunatarajiwa kwao kuingia katika Uislamu?
Jibu: Hili ni jambo maalum kwa mtawala. Kuwavutia watu na kuwapa watu wanaotarajiwa kuingia katika Uislamu ni jambo linafanywa na mtawala peke yake. Sio jambo linalofanywa na kila mtu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 13/02/2017
Swali: Je, mtu yeyote anaweza kuwapa zakaah makafiri ambao kunatarajiwa kwao kuingia katika Uislamu?
Jibu: Hili ni jambo maalum kwa mtawala. Kuwavutia watu na kuwapa watu wanaotarajiwa kuingia katika Uislamu ni jambo linafanywa na mtawala peke yake. Sio jambo linalofanywa na kila mtu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
Imechapishwa: 13/02/2017
https://firqatunnajia.com/nani-anaweza-kuwapa-zakaah-makafiri/