Swali: Kuna kundi la watu walihudhuria katika swalah ya kupatwa kwa jua na imamu alikuwa mwishoni mwa Khutbah. Je, walipe kwa pamoja au kila mmoja kivyake?
Jibu: Wakilipa kwa pamoja au kila mmoja kivyake, jambo hili lina wasaa ndani yake.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
- Imechapishwa: 15/09/2018
Swali: Kuna kundi la watu walihudhuria katika swalah ya kupatwa kwa jua na imamu alikuwa mwishoni mwa Khutbah. Je, walipe kwa pamoja au kila mmoja kivyake?
Jibu: Wakilipa kwa pamoja au kila mmoja kivyake, jambo hili lina wasaa ndani yake.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
Imechapishwa: 15/09/2018
https://firqatunnajia.com/namna-ya-kulipa-swalah-ya-kupatwa-kwa-jua/