Swali: Ni vipi mswaliji anakata swalah yake wakati kunapokimiwa swalah?

Jibu: Aikate kwa nia na inatosha. Hakuna haja ya kutoa salamu wala kitu kingine.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25336/ما-كيفية-قطع-المصلي-صلاته-اذا-اقيمت-الصلاة
  • Imechapishwa: 28/02/2025