Namna hii unaondoka ususaji kati ya ndugu

Swali: Je, kukatana huondoka kwa salamu au kwa kurejea hali kama ilivyokuwa hapo awali?

Jibu: Kukatana huondoka kwa salamu. Ukamilifu wake ni kwamba hali irejee kama ilivyokuwa mwanzoni. Lakini dhahiri ya maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Mbora wao ni yule anayeanza salamu.”

ni kwamba inaondoka kwa salamu tu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25228/بماذا-يزول-هجر-المسلم-لاخيه
  • Imechapishwa: 20/02/2025