Swali: Ni vipi mwanamke ambaye ana udhuru wa ki-Shari´ah atasimamisha usiku wa Qadar?
Jibu: Kwa kuomba du´aa, kufanya Dhikr na kusoma Qur-aan. Hakuna ubaya kwake kufanya hivo. Nadhani kuwa una uhakika wa kutokuweko machukizo kwa mwanamke mwenye hedhi kusoma Qur-aan.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 181
- Imechapishwa: 03/07/2022
Swali: Ni vipi mwanamke ambaye ana udhuru wa ki-Shari´ah atasimamisha usiku wa Qadar?
Jibu: Kwa kuomba du´aa, kufanya Dhikr na kusoma Qur-aan. Hakuna ubaya kwake kufanya hivo. Nadhani kuwa una uhakika wa kutokuweko machukizo kwa mwanamke mwenye hedhi kusoma Qur-aan.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 181
Imechapishwa: 03/07/2022
https://firqatunnajia.com/namna-ambavyo-mwenye-hedhi-atatafuta-usiku-wa-qadar/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket