Swali: Kuna mtu amesema kuwa analazimika kutoa talaka akiingia nyumba fulani. Je, mke wake anaachika akiingia nyumba hiyo?
Jibu: Ndio. Hii ni talaka iliyotundikwa (طلاق معلق) inayohusiana na kuingia ndani. Limetokea jambo la kuingia ndani. Kwa msemo mwingine mke wake ametalikika.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 18/06/2024
Swali: Kuna mtu amesema kuwa analazimika kutoa talaka akiingia nyumba fulani. Je, mke wake anaachika akiingia nyumba hiyo?
Jibu: Ndio. Hii ni talaka iliyotundikwa (طلاق معلق) inayohusiana na kuingia ndani. Limetokea jambo la kuingia ndani. Kwa msemo mwingine mke wake ametalikika.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
Imechapishwa: 18/06/2024
https://firqatunnajia.com/nalazimika-kumwacha-mke-wangu-nikiingia-ndani-ya-nyumba/