Swali: Maneno ya Allaah (Ta´ala):
تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ
“Unayajua yale yote yaliyomo katika nafsi yangu na wala mimi sijui yale yaliyomo katika nafsi Yako.” (05:116)
Je, hapa kuna kuthibitisha nafsi kwa Allaah (Subhanaahu wa Ta´ala)?
Jibu: Ndio, bila ya shaka. Allaah anathibitishiwa kuwa na nafsi:
وَيُحَذِّرُكُمُ اللَّـهُ نَفْسَهُ
“Allaah anakutahadharisheni nafsi Yake.” (03:30)

Lakini hata hivyo sio kama nafsi za viumbe. Nafsi Yake ni kama mfano wa sifa Zake zingine zote (Subhanaahu wa Ta´ala).
Swali: Je, ifasiriwe kuwa ni dhati?
Jibu: Hapana, isifasiriwe hivyo. Ifasiriwe kama ilivyokuja. Ni nafsi ya Allaah isiyofanana na nafsi za viumbe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (14) http://alfawzan.af.org.sa/node/2118
- Imechapishwa: 05/07/2020
Swali: Maneno ya Allaah (Ta´ala):
تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ
“Unayajua yale yote yaliyomo katika nafsi yangu na wala mimi sijui yale yaliyomo katika nafsi Yako.” (05:116)
Je, hapa kuna kuthibitisha nafsi kwa Allaah (Subhanaahu wa Ta´ala)?
Jibu: Ndio, bila ya shaka. Allaah anathibitishiwa kuwa na nafsi:
وَيُحَذِّرُكُمُ اللَّـهُ نَفْسَهُ
“Allaah anakutahadharisheni nafsi Yake.” (03:30)
تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ
“Unayajua yale yote yaliyomo katika nafsi yangu na wala mimi sijui yale yaliyomo katika nafsi Yako.” (05:116)
Lakini hata hivyo sio kama nafsi za viumbe. Nafsi Yake ni kama mfano wa sifa Zake zingine zote (Subhanaahu wa Ta´ala).
Swali: Je, ifasiriwe kuwa ni dhati?
Jibu: Hapana, isifasiriwe hivyo. Ifasiriwe kama ilivyokuja. Ni nafsi ya Allaah isiyofanana na nafsi za viumbe.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (14) http://alfawzan.af.org.sa/node/2118
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/nafsi-ya-allaah-ina-maana-ya-dhati/