Swali: Kipindi cha mwisho kumedhihiri kwenye TV watu ambao kunasemwa kwamba ni Fuqahaa´ na wanachuoni ambao wanasema kuwa Aadam (´alayhis-Salaam) sio kiumbe cha kwanza na kwamba kuna viumbe waliokuwa kabla yake. Lakini hata hivyo Allaah aliwafadhilisha juu yao. Vilevile wanasema kwamba Aadam ana baba na mama na kwamba Hawwaa hakuumbwa kutoka kwenye ubavu wa Aadam. Unasemaje juu ya hili?
Jibu: Hii ni kufuru. Hii ni kufuru na ukanajimungu. Ni kupingana na maneno Yake (Jalla wa ´Alaa) yanayosema kwamba Allaah amemuuba Aadam kutokamana na udongo, amemuumba kwa mikono Yake na kwamba hana baba wala mama. Vilevile ni kupingana na kwamba amemuumba Hawwaa kutokamana na yeye Aadam. Mwenye kukanusha haya anakuwa ni mwenye kumkufuru Allaah (Jalla wa ´Alaa) na anaritadi katika Uislamu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oMoaMLGx4k0
- Imechapishwa: 08/12/2017
Swali: Kipindi cha mwisho kumedhihiri kwenye TV watu ambao kunasemwa kwamba ni Fuqahaa´ na wanachuoni ambao wanasema kuwa Aadam (´alayhis-Salaam) sio kiumbe cha kwanza na kwamba kuna viumbe waliokuwa kabla yake. Lakini hata hivyo Allaah aliwafadhilisha juu yao. Vilevile wanasema kwamba Aadam ana baba na mama na kwamba Hawwaa hakuumbwa kutoka kwenye ubavu wa Aadam. Unasemaje juu ya hili?
Jibu: Hii ni kufuru. Hii ni kufuru na ukanajimungu. Ni kupingana na maneno Yake (Jalla wa ´Alaa) yanayosema kwamba Allaah amemuuba Aadam kutokamana na udongo, amemuumba kwa mikono Yake na kwamba hana baba wala mama. Vilevile ni kupingana na kwamba amemuumba Hawwaa kutokamana na yeye Aadam. Mwenye kukanusha haya anakuwa ni mwenye kumkufuru Allaah (Jalla wa ´Alaa) na anaritadi katika Uislamu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oMoaMLGx4k0
Imechapishwa: 08/12/2017
https://firqatunnajia.com/nadharia-inayosema-kuwa-kabla-ya-aadam-walikuwepo-viumbe-wengine/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)