Mzushi Amewachukua Watawa Na Wanazuoni Wao Kuwa Ni Wangu Badala Ya Allaah

Swali: Mtu mwenye kujiunga na makundi ambayo sio Ahl-us-Sunnah na anajua kosa lao anazingatiwa ni miongoni mwa wale waliowachukua watawa wao na wanazuoni wa kiyahudi kuwa ni miungu badala ya Allaah?

Jibu: Ndio. Ni kichwa cha wale waliowachukua watawa wao na wanazuoni wa kiyahudi kuwa ni miungu badala ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid%207%20-%20… Toleo la: 22.05.2015
  • Imechapishwa: 11/02/2017